|  | 
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Balozi wa Japan nchini, anayemaliza muda wake, Mhe. Masaki Okada wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi zawadi ya kitabu chenye picha na ramani ya jiji la Dar es salaam wakati Balozi huyo alipokwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 2, 2015 kuaga. (picha na ofisi ya Waziri mkuu) | 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji mbunge wa zamani wa Viti Maalum, Florence Kyendesya  wakati alipokwenda nyumbani kwa mbunge huyo  kuhani msiba wa mtoto wa  Mama Kyendesya,  Machi2, 2015. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na. Awadh Ibrahim wa Mjengwa Blog/Kwanza jamii radio.