Akizungumza na Kituo hiki Samba amesema pia anatarajia kufunga ndoa kanisani hapo mwezi wa 6 tarehe 6 namo mwaka huu.
Ikumbukwe pia Oscar Samba amekwisha kutangaza nia yakugombania kiti cha ubunge kwenye jimbo la Rombo mkoania Kilimanjaro
Tazama Picha za tukio hilo..
| Kushoto ni Oscar Samba na Mchumba wake Anna Samweli wakifurahia jambo kutoka kwa Mchungaji wao Aloice Mbungi wakati wa kumvalisha pete mchumba wake. |
| Wachumba wakisikiliza ajmbo kwa Mchungaji wao |
| Mch. Aloice Mbughi Akiteta na wachumba Oscar Samba na Anna Samweli |
| Kwa umakini kabisa Oscar Samba na Anna Samweli wanasikiliza mahusia ya mchungaji |
| Oscar akimuonesha Mchungaji pete ya uchumba |
| Wapendao wakishikana mkono baada ya kumvisha pete |
| Oscar akitaka kumkumbatia ampendae na ghafula mchungaji anmzuia na kumwambia wakati bado. |
| Anna (ANNA OSCAR SAMBA ) akimkabithi mchumba wake zawadi |
| Mchungaji akiwataka vijana wake wapige magoti kwa ajili ya maombezi. |
| Kabala ya sala ni mahusia kwanza |
| Oscar na kisura wake |
| Tafakari ya kina |
| Mchungaji Aloice Mbughi akisisitiza jambo wakati wa kutangaza uhumba. |
| Baada ya kupokea zawadi. |
| Nifuraha na pozi la aina yake. |
| Kisura wa Osca akiwa ndani ya zawadi |
| Ni pozi za furaha,. |
| Tabasamu mwanana la wapendanao |
| Ni wachumba Oscar na Anna wakiwa katika picha ya ya pamoja na viongozi wa vijan akanisani kwao. |
| Pozi la uchokozi na viongozi wa vijana |
| Aliopo kulia ni Baba mzazi na mchungaji wa Anna yaani mzee Samweli. |
| Utulivu ni muhimu mbele ya Mkwe. |
| Huwa furaha haijifichagi |
| Kushoto ni Mzee wa kanisa Andrea Laiza akiwa na vijana wake |
| Ni picha uya pamoja na viongozi wa wanaume kanisani. |
| Mng'ao katika sura unaoosadifu ya mioyoni |
| Kulia ni Mama Mch. Catherini Mbughi akiwa na binti yake huku kijana wake wakiume akimnongoneza jambo Mchungaji wake. |
| Ni TABASAMU TUU |
| Mchungaji akimpa majibu mwane. |
| Hii nayo nisehemu iwakilishayo furaha |
| Wakiwa na viongozi wakwaya |
| Pozi na viongozi wa wanawake kanisani. |
