Jenerali Godefroid Niyombare ambaye alianzisha jaribio la kutaka kufanya mapinduzi mwanzoni Jumatano ya wiki hii
AMEKAMATWA NA ASKARI WATIIFU KWA RAISI nKURUNZINZA MCHANA HUU DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA.
NA HII NI MARA BAADA YA WASAIDIZI WAKE KUJIALIMISHA KWA POLISI.
KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTUTEMBELEA
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
6 years ago

