
Mwakilishi wa familia ya mzee Lekule, Denis Lekule akizungumza na wandishi wa habari hawapo pichani kuhusiana na jinsi walivyo chukuliwa eneo lao na wawekezaji, badala ya kuwa kama ilivyo pangwa na wazazi wao kuwa eneo la shule ya msingi na shule ya sekondari katika kijiji cha Himo eneo la Mieresini,Jimboni Vunjo, na kulia ni Mbunge wa jimbo la Vunjo, Augustino Mrema.

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Vunjo Augustino Mrema leo jijini Dar es Salaam.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA)

