UPDATE ZA MATOKEO YA UCHAGUZI TANZANIA .

ARUSHA MJINI CHADEMA MADIWANI 24 NA CCM 1.ROMBO CHADEMA 27 NA CCM 1.TUNDUMA CHADEMA IMECHUKUWA MADIWANI WOTE 19,NA KWA NASSARY ARUMERU MASHARIKI NI CHADEM AVITI VYOTE 26 NA MOSHI VIJIJINI CHADEMA 15 NA CCM 1
Pia tunahakikisha taarifa za Ushindi wa Kingewndu,Bulaya na Wengneo akiwemo Zitto Kabwe NA HUKO IRINGA MJII HADI IMETANGAZWA KATA 13 Kati YA 18 NA ZOTE CHADEMA INAONGOZA ..RASIMI:Ester Matiko (Chadema) AMETANGAZWA KUWA MSHINDI JIMBO LA TARIME MJINI.
MATOKEO ARUMERU;
Kata za Shambarai Burka, Mbuguni, Kikwe, Nkoaranga, Usa River, Poli, Songoro, Seela Sing'isi, Nkoanekoli, Ambureni, Malula, Maji ya Chai, Imbaseni, Kikatiti, Ngabobo, Uwiro, Nkoanrua, - madiwani wa CHADEMA WAMETANGAZWA.
.,pia kupitia akaunti yeke nyingine Nasari kaandika haya;-'' Joshua Nassari ·
Jimbo lilikuwa na vituo 437, nimeshinda vituo 436. Nimeshindwa kimoja kwa kura 2.
LANDSLIDE VICTORY IN ARUMERU MASHARIKI. Leading in 436 polling stations out of 437.
Ukurasa wa facebook wa Mh.Lwakatare yeye alikuwa anagombea kwenye jimbo la Bukoba Mjini akichuana na mh.Hamis Kagasheki yeye kayaandika haya;-Wilfred Lwakatare

Na sasa umefika wakati wa mabadiliko kwa WATANZANIA.
Mmeyakubali na TUNAAHIDI kuto waangusha watanzania.
SERIKALI YA WANANCHI WOTE IMEKUJA SASA.
Ahsante wanabukoba kwa kunituma Mimi na madiwani WA UKAWA 10/14. TUTAWATUMIKIA!


mh.Mch.Piter Msigwa yeye alikuwa anatete Jimbo lake la Iringa Mjini mwenye kayaandika haya kupitia facebook yake;-Peter Msigwa

Iringa mjini MPAKA sasa tuna kata zilizotangazwa rasmi 13 Kati YA 18 , Maana yake tutaunda halmashauri, Asante iringa!

Katika Jimbo la Bunda Mjini ambalo lilikuwa linaongozwa na mh.Steven Wasira mgombea wa CHADEMA aliekuwa CCM mh.Esta Bulaya kayaandika haya kupitia akaunti yake ya facebook;-Ester Bulaya

Hakuna kisichowezekana chini ya jua, asante wanabunda,kwakuniamini, hatimaye ameng'oka.mungu wangu asante kwa kunisiimamia. Nimeshinda nasubiri kutangaza rasmi.
,,,,,
Mbunge aliyemaliza muda wake lakini anagombea tena Joseph Mbilinyi
Matokeo ya Ubunge Mbeya Mjini yatatangazwa leo jioni saa kumi na moja lakini matokeo ya udiwani Mbeya Mjini Chama Cha Chadema kimepata kata 26 huku CCM imepata kata 8 na kata 1 imeahirishwa kufanyika uchaguzi kutokana na mgombea kufariki dunia

HAPA Kuna Matokeo Mengine Ya Ubunge Yaliyothibitishwa..


Jimbo la Siha
Ubunge: Dk Godwin Mollel (Chadema) 22,746 na Aggrey Mwanry (CCM) 18,584.

Msimamizi wa Uchaguzi, Rashid Kitambulio amemtangaza Dk Mollel kuwa mshindi wa jimbo hilo ambalo mbunge wake alikuwa ni Aggrey Mwanry (CCM).

Jimbo la Tunduma
Ubunge: Mwakajoka Frank (Chadema) 32,442, Frank Sichalwe (CCM) 17,220, James Mwakalonge(TLP) 85, Reddy Makuba (ACT Wazalendo) , 319.

Msimamizi wa uchaguzi ambaye ni mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Tunduma, Halima Mpita ametangaza matokeo hayo.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company