Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa na viongozi wakuu wa UKAWA,Freeman Mbowe, James Mbatia pamoja na mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika nyumbani kwa Lowassa, Masaki jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo maalum.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago