Waathirika wa risasi wakipelekwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Mercy Medical Center katika mji wa Roseburg, Oregon, Oktoba 1, 2015.
AFP/The News-Review/AFP
Na RFI
Wanafunzi watano wamechomwa visu Jumatano wiki hii katika Chuo kikuu katikati mwa California (magharibi) na mtuhumiwa ameuawa kwa risasi, wamesema viongozi wa chuo kikuu cha UCMerced ambapo tukio hilo limetokea.
" Polisi ya chuo hichi kikuu imesema mtuhumiwa alipigwa risasi. Wanafunzi watano wamepelekwa hosopitali kwa matibabu ya majeraha walioyapata baada ya kuchomwa visu ", Chuo kikuu cha Californi cha UCMerced kimebaini kwenye akanuti yakeya Twitter.
Mtuhumiwa aliyeuawa alikua mwanafunzi mwenye umri wa zaidi ya miaka ishirini, kwa mujibu wa gazeti la kila siku katika jimbo la California la The Sacramento. " Waathirika wote wanakumbuka ya tukio hilo", wawili wamepelekwa hospitali na wengine watatu wanatibiwa katika chuo hicho, viongozi wa chuo kikuu cha UCMerced, ambao watangaza tukio hilo kwenye mitandao ya kijamii.
Chuo kikuu kimeungwa siku nzima na visomi vyote vimekufutwa.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago