WATU WAWILI WAMWDHIBITISHA KUPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA BOMU LILILO RUSHWA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA LEO.
BOMU HILO LILIRSHWA KUTOKA MBALI NA KUIBUA HALI YA TAHARUKI HIVI SASA BAADHI YA MAJERUHI WAPOI KATIKA HOSIPITALI YA MAUNTI MERU,SELIANI NA WENGINE PIA WAMEKIMBIZWA KCMC HUKO MKOANI KILIMANJARO
PAMOJA NA HAYO PIA WATU WATANO WAPO ICU KWANI HALI YAO HAIRIDHISHI.KUMEKUWA NA LAWAMA NYINGI ZINAZO ELEKEZWA KWA JESHI LA POLISI .
MKUTANO HUWO UMEFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA SOETO ENEO LA SELIANI,KIWANJA HICHO HUTUMIKA KWA MICHEZO YA BASKETIBAL.