Hii ndiyo kampeni ya Diamond Platinumz kwa ajili ya wimbo wake “Number one

www.hakileo.blogspot.com
d1Diamond yupo kwenye hatua za mwisho kutoa wimbo wake na video ya yake ya “Number one”. Picha kadhaa zimetoka kwenye internet zikionyesha sehemu za video hiyo ambapo ndani yake kuna magari ya kifahari. Kama haujapata kukutana na kampeni inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu hii ngoma, basi pata kujua kwamba Diamond anaendelea kuwaonjesha mashabiki zake radha ya huu wimbo kabla hata haujatoka. Kwenye official twiiter account ya Diamond @diamondplatnumz, mara nyingi Diamond ana tweet na #NumberOne na kufanya hivyohivyo kwenye facebook pia.

Kwenye instagram  Diamond anapost picha zenye mistari kadhaa ikiwa na #NumberOne. Baadhi ya mashabiki wameshaana kuelewa na interaction na attention juu ya wimbo huu imenza kutokea k wenye mitandao ya kijamii. Habari za ndani zinasema kwamba Diamond anaweza kufanya launching kubwa na ya tofauti sana kwa ajili ya hii video ya number one ambayo ameshoot nchini South Africa.
d3
d2
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company