GODYWILY AZINDUA ALIBAMU.

                PICHANA NI GOODYWILY.
JANA KWENYE UKUMBI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI A.J.T.C HALI ILIKUWA NI YA KUVUTIA PALE MSANII WA NYIMBO ZA INJILI GOODWILY ALIPOKUWA AKIZINDUA ALIBAMU YAKE.

www.hakileo.blogspot.comMWIMBAJI HUYU BILA KUJALI ULEMAVU WAKE ALIONAO ALIMUIBIA BWANA KWA FURAHA NA SHANGE YA HALI YA JUU.

UZINDUZI HUO ULIPAMBWA NA WAIMBAJI MABALI MBALI KUTOKA KATIKA KONA ZA TANZANIA,MAELUFU YA SHILINGI YALIPATIKANA KUTOKA KWA WATU WALIO MCHANGIA.

MR. GOODWILY NI MLOKOLE NA PIA NI MWANAFUNZI KATIKA CHUO HICHO HUKU AKIWA NI KIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI KWA CHEO CHA AFISA MAHUSIANO.

ALUBAMU HIYO INAYOITWA SITACHOKA KUNGOJA INA NYIMBO 8 NAWIMBO WA 5 NDIO ULIOBEBA ALIBAMU NA WIMBO WA KWANZA UNAITWA YESU KWETU NI RAFIKI.
Mtoto huyu ndie aliekuwa kivutio kikubwa hususani pale alipoonesha ujuzi wake wakulivamia na kulitawala jukwaa,wimbo ulioteka hisia za wengi ni ule uliubeba alibamu yake uitwao MAFANIKIO.COM  jina lake ni MARIAMU

Mwimbaji GOoGWILlY LINUSI akilitawala jukwa wakati akizindua alibamu yake ,pamoja na wanahabari waliounganae katika kumuimbia MUNGU pamoja nae.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company