Baadhi ya picha za jinsi Askofu Kulola alivyoagwa Mwanza


2Muhubiri huyu maarufu Askofu Moses Kulola alifariki akiwa na miaka 85 hospitali Dar es salaam August 29 2013 ambapo kwa mujibu wa Emmanuel Mbasha ambae ni mume wa mjukuu Flora Mbasha, mzee Kulola alikua akisumbuliwa na maradhi mbalimbali.
Gazeti la Uhuru leo September 4 limeandika kwenye ukurasa wa kwanza kwamba Rais Jakaya Kikwete ataongoza Watanzania kwenye maziko ya Askofu Kulola.
5
B39A0888
Mama Kulola
ndugu aliezidiwaPichaz zote zimetoka gospelkitaa.blogspot.com ambao  huwa wanaripoti mbalimbali za Injili Tanzania.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company