Wapita Njia wakiangalia gari lililoteketea kwa moto pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa eneo la Moroco karibu na Mataa ya kuongozea magari
Kijana mpita Njia akilipiga picha
Mmoja wa wapita njia akilikagua gari hilo lililoteketea kwa moto mapema leo na kutelekezwa pembezo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Moroco karibu na Mataa ya Kuongozea Magari.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
