Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Kyabakari kata ya Kyokilango ambapo aliwaeleza wananchi wa Butiama kama ni watu wenye heshima sana nchi hivyo aliwasihi watu kufuata yale aliotuachia Baba likiwemo suala la Ujamaa ,kujitegemea na uadilifu miongoni wa viongozi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Kyabakari kata ya Kyokilango ambapo aliwaeleza wananchi wa Butiama kama ni watu wenye heshima sana nchi hivyo aliwasihi watu kufuata yale aliotuachia Baba likiwemo suala la Ujamaa ,kujitegemea na uadilifu miongoni wa viongozi.
Bibi Safina Kombo balozi mstaafu akielezea matatizo yanayowapata wajane kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipotembelea shina namba 12 tawi la Butiama.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Kyabakari kata ya Kyokilango wilaya ya Butiama mkoani Mara.
Mbunge wa Butiama Vijijini, Ndugu Nimrod Mkono akizungumza na wakazi wa shina namba 12 tawi la Butiama ambapo aliahidi kuwasogezea kisima cha maji kiwe karaibu zaidi na wakazi hao.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa akisalimiana na mdogo wa Mwalimu Nyerere, Daniel Nyerere walipokutana kwenye kikao cha Balozi wa shina namba 12 tawi la Butiama.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na mdogo wa Mwalimu Nyerere ,Daniel Nyerere walipokutana kwenye kikao cha Balozi wa shina namba 12 tawi la Butiama.
“Nape endelea kupambana” ndivyo anavyoonekana akiambiwa na mdogo wa Mwalimu, Daniel Nyerere.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya kata ya Busegwe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameshikilia maru maru (tiles) pamoja na Mbunge wa jimbo la Butiama vijijini Ndugu Nimrod Mkono ambapo mbunge huyo amejitolea bati zaidi ya mia tatu pamoja na tiles na milango yote.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
tabasamu leo
-
[image: MICHEZO ,BURUDANI , INJILI]
Hutoa habari za aina mbali mbali ikiwemo habari za:
HABARI
- *MICHEZO*
- *BURUDANI*
- *INJILI*
*Haki hai...
KIJANA AUAWA KATIKA MZOZO WA MAPENZI
-
Polisi mjini Nairobi wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha
tatu anayedaiwa kumuua mwenzake kwa kumdunga kisu.
Tukio hilo lilifanyika siku ya...
Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari
-
Namna mdomo unavyoharibika kutokana na ngono kufanywa kwa kutumia mdomo.
Picha ya Maktaba.
Na Hadija Jumanne, Mwananchi
Jana ilikuwa siku ya Saratani Dun...