Aliyekuwa meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014 kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Agency Hashim Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni Meneja mpya wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Agency Hashim Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014 katikakati ni aliyekuwa meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja mpya wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria kwenye uzinduzi jijini Dar Es Salaam.