Malkia wa Afrika watetea wanawake Uganda


Malkia wa Buganda Sylvia Nagginda
Malkia kutoka katika falme za kiafrika wanakutana mjini Kampala kujadili nyenzo za kupigana dhidi ya mila na tamaduni zenye madhara kwa wanawake.
Mkutano huo unaoandaliwa na malkia wawili wa Uganda , pia utajadili swala la haki za wanawake.
Malkia hao wa kiafrika pamoja na mtandao wa viongozi wanawake wa kitamaduni Afrika unaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa utazinduliwa rasmi kwenye mkutano huo
Mataifa mengi ya Afrika bado yapo na wafalme wa kitamaduni mfano Ghana, Uganda na Swaziland.
Baadhi ya tamaduni na mila zinazoathiri wanawake pakubwa sana Afrika ni pamoja na ndoa za mapema, ukeketaji na ndoa za www.hakileo.blogspot.comkulazimishwa
Share this article :

+ Toa maoni yako. + 2 Toa maoni yako.

September 4, 2013 at 12:37 PM

HAYA BWANA

OSCAR SAMBA
September 4, 2013 at 12:38 PM

HAYA

Post a Comment
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company