BREAKING NEWS:MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE NDUGU SAID BWANAMDOGO AFARIKI DUNIA


Taarifa zilizotufikia Katika Meza yetu ya lukaza blog hivi punde kutoka kwa Mdau wetu zinasema kuwa Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu
Habari zaidi tutajuzana kadri zinavyotufikia
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company