RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA CHALINZE,MH. SAID BWANAMDOGO


Marehemu Said Bwanamdogo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
 
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone:
 
255-22-2114512, 2116898
 
 E-mail:ikulumawasiliano@yahoo.com  press@ikulu.o.!"  #a$: 255-22-211%425
 &'E()*E+T( ##)E, T/E (T0TE /(E, &.. 3 912, *0' E( (000 
 .
Tan"ania
 .
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. JakayaMrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuriya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Anne Semamba Makina ku!uatia ki!o"hMbunge wa Jimbla #halinze kupiti#ham#hMapinuz$##M%,Mheshimiwa Sai Ramahan Bwanamogo.Mheshimiwa Sai Ramahan Bwanamogo ame!ariki tarehe && Januari,&'() katika *ospitali ya Tai!a ya Muhimbili, Taasisi ya Mi!upa $M+% alikokuwaamelazwa akienelea kupatiwa matibabu.
7+imesh!ushwa, nimesiki!ishwa na kuhu"unishwa mno na !aaria "a kiocha une wa imo la chau"i la halin"e kwa !ike!i ya hama ha apin;u"i, heshimiwa (ai; 'ama;han wanam;oo, kilicho!okea !arehe 22 anuari, 214 akiwa amela"wa ka!ika /ospi!ali ya Taia ya uhimili Taasisi ya iupa <)= akien;elea na ma!iau>,
 amesema Rais Kikwete akiombolezaki!o "ha Mbunge Bwanamogo.
7?wa hakika kio cha une huyu amacho kimeniusa mno, siyo !uni pio kuwkwunle!u la amhurya uunano wa Tan"aniaalikokuwa akichania kwa umahiri mia;ala na hoa malimali ali pia kwaAananchi wa imo la halin"e amao alikuwa akiwawakilisha Byema na kwauho;ari mkuwa ka!ika une hilo>,
 ameongeza kusema Rais Kikwete kwamasikitiko.
7?uua!ia !aaria "a msia huu, ninaku!umia wewe (pika wa une la amhuri ya uunano wa Tan"ania, heshimiwa 0nne (emama akin;a (alamu "anu "a 'amirami ku!oka ;ha!i ya moyo wanu kwa kumpo!e"a une, (ai; 'ama;han wanam;oo>,
 ameongeza kusema Rais Kikwetekatika Salamu zake.
 
Aiha Rais Kikwete amemuomba Spika Makina kum!ikishia Salamu zakeza Rambirambi na pole nyingi kwa !amilia ya Marehemu kwa kupotelewa naBaba, Kiongozi na Mhimili mahubuti wa !amilia ambaye kwa hakika alikuwategemeo kubwa kwao katika kuienesha -yema !amilia yao. *ata hi-yo amesemahawana bui kuutambua ukweli kwamba kazi ya Mungu haina makosa.Amewahakikishiana!amilia, nugu na /amaa wa Marehemu SaiRamahan Bwanamogo kuwa, katika msiba huu, hawako peke yao kwani yeye bina!si yuko pamo/a nao katika kipini "hote "ha maombolezo na kwamba msibahuu ni wa wote.Amewaomba ana!amilia kuwa wa-umili-u, watuli-u, wenye subira nau/asiri ili waweze kuhimili ma"hungu ya kuonokewa na Kiongozi na Mhimili wa!amilia. RaiKikwete amesemanamuomba Mwenyezi Mungu, MwingwaRehema aipokena kuilazMahala pema 0eponi Roho ya Marehemu SaiRamahan Bwanamogo, Amina.
Imetolewa na
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,kulu,
DAR ES SALAAM!
&& January, &'()
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company