"Mh.samweli sitta ameshinda nafasi ya mwenyekiti wa bunge la katiba kwa kura 487 na hashim rungwe kapata69 walio piga kura jumla ni566 kula zilizo alibika ni 7."HIVI SASA ANATOA HOTUBA NA AMESEMA YA KWAMBA BAADA YA KUAPISHWA ATATOA HOTUBA FUPI,,,,PIA AMEWATAKA WALE WANAOVUMISHA YA KWAMBA ANA UADUI NA ANDRU CHENGE KWANI YEYE NDIYE ALIYE UWEZESHA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI.
NA AMEKISHUKURU CHAMA CHAKE KWA KUMPITISHA HUKU AKIMWAGIA RAISI KIKWETE SIFA KEMUKEMU KWA KULIONGOZA TAIFA VIZURU.
KUBWA ZAIDI AMEWASHUKURU WAJUMBE WA BUNGE HILO KWA KUMCHAGUA.
NA ALIANZA KWA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU NA FAMILIA YAKE NA MKE WAKE AKIMTAJA KUWA MSHAURI MZURI WA MASWALA YA KISISA NA MAMA YAKE HAJAKSI ZUWENA BI SAID NA NDUGUE PAULO SITTA.
HAKUSITA KUWASHUKURU WAAMINI WENZAKE WAKANISA ANALO SALI KWA SALA ZAO.