BREAKING BREAKING; MBUNGE MMOJA ANGUKA BUNGENI KWA PRESHA,AKIMBIZWA HOSIPITALINI.


Wauguzi na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ziana Mohamed Haji katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo baada ya kupata matatizo ya mshutuko.


Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambapo pia ni Ndugu na Jamaa wa Mjumbe wa Bunge hilo Ziana Mohamed Haji wakijadiliana na watendaji wa Bunge hilo jinsi ya kumsaidia baada ya kupata matatizo ya mshutuko leo mjini Dodoma.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambapo pia ni Ndugu na Jamaa wa Mjumbe wa Bunge hilo Ziana Mohamed Haji wakijadiliana na watendaji wa Bunge hilo jinsi ya kumsaidia baada ya kupata matatizo ya mshutuko leo mjini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika Ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kuendelea kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba Mpya leo mjini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika Ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kuendelea kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba Mpya leo mjini Dodoma.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto) na Catherine Saruni (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya mapumziko ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba Mpya.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Saada Mkuya Salum akichangia maoni yake leo mjini Dodoma kuhusu Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mizengo Pinda (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Watendaji wa Bunge na Wajumbe wenzake Nassoro Salim (kulia),Haji Omar Heri(wa tatu kulia), Mohamed Aboud Mohamed(wa pili kushoto) , Dkt. Tereza Huvisa(kushoto) na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Yahaya Hamis Hamad(wa tatu kushoto) leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko mafupi ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya. Picha na Ofisi ya Bunge Maalum la Katiba
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company