Makamu wa Pili wa Rais Balozi. Seif Ali Iddi akiwahutubia Madaktari na wananchi waliofika katika uzinduzi wa kampeni za kutoa huduma za kisukari na shindikizo la damu huko ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Suza Mjini Zanzibar.
Balozi Seif na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Sira wakikagua utoaji huduma mara baada ya kuzindua
