Aisha Sued anayedai kupigwa na Chidi Benz .Mwanadada Aisha Sued anayeishi Ilala karibu na Kituo cha basi Msaada Garage amedai kuwa siku ya Pasaka ameshambuliwa na Msanii wa Bongo flava Rapper Chidi Benz na kuumizwa vibaya mdomoni hadi kushonwa nyuzi 18, Tukio hilo inasemekana lilitokea katika Bar moja iliyoko maeneo ya Ilala usiku wa sikukuu ya Pasaka, kwa wakati huu Chidi Benz Tangu usiku wa siku ya Pasaka tarehe 20 April 2014 ametiwa nguvuni na jeshi la polisi na yupo kituo cha polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza vibaya Aisha Sue
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
6 years ago
