MASWIMBWI; MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE AMCHAKAZA JACK SIMELA

Bondia Juma Biglee kulia akishambulia kwa makonde na Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema inn chalinze mjini mkoa wa pwani Biglee alishinda kwa point

Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa chalinze

Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa wa pwani juma alishinda kwa point

Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa wa pwani juma alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company