Amekua ni binti wa Kitanzania miongoni mwa Warembo walioonyesha juhudi za kupata pesa zao kwa nguvu na jitihada zako za kihalali tunakuombea uzidi kusonga mbele ili uwe mfano wa kuigwa kwa warembo wengine.(Awadhi Ibrahim)
HAKI-LEO INAKUPA BIG UP SANA
