Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa (RPC) Ramadhani Mungi akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwake kuhusiana na hali ya usalama mkoa wa Iringa na matukio mbalimbali yaliyojitokeza mkoani hamo.(Picha Friday Simbaya)
Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa (RPC,) ACP Ramadhani Mungi akielezea hali ya usalama wakati wa Sikukuu ya Pasaka mkoani Iringa leo wakati mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake. (Picha na Friday Simbaya)