WATANZANIA YATUPASA TUSEMEZANE KWANI MIMI MWENYEWE BINAFSI SINA IMANI HATA KIDOGO NA MWENENDO WA BUNGE LETU MALUMU LA KATIBA KWANI WAMEWEKA MBELE MASILAI YA VYAMA VYAO KULIKO WATANZANIA,,CCM NDO WAMEGEUKA WAPAGAZI WABEBAO MIZIGO WASIYO JUA KILICHOKO NDANI YAKE,,VYAMA VYA UPINZANI NAVYO VIMEKUWA TAYARI KUTETEA KWA NGUVU ZOTE ILI KUTIMIZA ADHIMA ZAO ZA KISIASA.Wamewekezaa nguvu zao kwenye muundo tuu wa muungano na kusahao ibara nyinginezo ..Zaidi tuendelee kuonana hapa HAKI LEO www.hakileo.blogspot.com
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
6 years ago
