MGOMO WA WALIMU WILAYANI BUSEGA


Mgomo baridi wilayani busega mapema leo walimu wa shule ya sekondary huko koa wa simiyu wamegoma kufuatia kile kinachodaiwa kuwa ni ucheleweshaji wa mishahara

Afisa elimu wilaya Bw. jumanne yassin amefika mahali hapo na kuzungumza na walimu hao walioanzisha mgoma baridi kwa kucheleweshewa mishahara
kwani afisa elimu amewataka walimu hao kuwa na busara na kuwa serikali iko inashugulikia malipo yao ya mishahara ili jambo hili lisiendelee kuwepo maana itakuwa mabaya zaidi kwa walimu wengine walioko katika halmashauri zingine
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company