Klabu hiyo ya Stamford Bridge imetangaza kwamba Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal amesaini mkataba wa miaka mitano na atavaa jezi namba nne.
"Kwanza napenda kumshukuru kila mmoja wa FC Barcelona, ambako nimefurahia miaka mitatu ya ajabu,"amesema Fabregas.

Wa Bluu: Cesc Fabregas akiwa ameshika jezi namna nne baada ya kumalizana na Chelsea akitokea Barcelona kwa mkataba wa kiaka mitano