
Mwanamuziki J-Lo akipagawisha mashabiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2014 kabla ya mchezo wa kwanza wa Kundi A baina ya Brazil na Croatia usiku huu Uwanja wa Corintias mjini Sao Paulo.
Jennifer Lopez akimbo limbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)' pamoja na Pitbull na Claudia Lettie pichani chini
Shabiki wa Brazil akibusu mfano wa Kombe la Dunia