
Haamini macho yake: Nahodha wa Ureno, Crsitiano Ronaldo akiwa amejishika kiuno baada ya timu yake kufungwa mabao 4-0 na Ujerumani katika mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia jioni ya leo Uwanja wa Fonte Nova, Salvador, Bahia nchini Brazil
Lakini alipambana: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels (kulia akizuia shuti la Ronaldo aliloelekeza langoni