Maisha Lab ya Uganda
wametangazakuwawarshayaonyingineitafanyika Zanzibar wakatiwa ZIFF 2015
mweziJulaikuanziatarehe 18 hadi 25.
Maombitokakwawanaotakakushirikikatikawarshahiiyameanzakupokewanamwishowamaombinitarehe
13 Juni.
WarshazaMaisha Lab zimekuzavipajivyawaandishiwafilamunawakurugenziwafilamuwengihapaAfrikaMashariki.
Tayariwarshahizozimefundishazaidiyawatu 1000 tanguMaisha Lab ianzishwe.
MkurugenziwaMaisha Lab aliyeko
Kampala Uganda alisemakuwawanatarajikutoaskolaship 60 kwawanafunzikwamwakakwawashirikitokanchizotezaAfrikaMashariki.
“Katikawarshazetuwatu 60 (15
tokakilanchi)
watachaguliwakuhudhuriamafunzohayoyatakayoongozwanawakufunziwaliobobeakatikafanizauandishiwafilamu.NianikuongezaujuzinakupanuwawigowabiasharayautengenezajifilamuhapaAfrikaMashariki.”
AlisemaFibbyKioriaMkurugenziwaMaisha lab.
KatikakilaWarsha script
zitashindanishwanamshindiatapatiwa $5000
ilikumwezeshakutengenezafilamufupikatikamwakaunaofuata. Mwakajana Nassir
Qassimwa Tanzania ndiyealiyeibukamshindi.
Hiiniwarshaya 3 itakayofanyika
Zanzibar na ZIFF ndiomdhamini wake
ilikuwapawashirikinafasiyakushirikikatikatamashanahivyokuwezakukutananawatengenezafilamuwenginetokanjewanaokujakwa
ZIFF. PiawanapatanafasiyakuangaliafilamutelezinazoonyeshwawakatiwaTamasha.
LakiniMkurugenziwa ZIFF aliharakishakusemakuwaanasikitishwasanakuonakuwawashirikitoka
Zanzibar huwawachachekilamwaka.
“Tunajuwakuwawaandishiwafilamutokazanzibarwanahitajisanamafunzohayamaanayanawapaujuzinapianafasiyakujuananawatengenezafilamuwenginewakimataifa”,
alisemaMkurugenzihuyo
Tasniayafilamuya Bongo Movies
imesemwasanakwakuwanahadithidhaifukimataifa.
Kwakutumiawarshakamahiziwadauwanawezakukuzavipajivyaonakufikiahadhiyakimataifa.
ZIFF mwakahuuimejitoleakuwasaidia
wale woteambaowangependakutumamaombiyaoilikuwasaidiakufuatamalekezoyausaili,
kuwapamiongozoyauandishiwaskriptinakuwaongezeanafasizakuchaguliwakuhudhuriawarshahiimuhimu.
Wanaotakakusaidiwakatikahiliwanatakiwakufika ZIFF, NgmeKongwe Zanzibar, au
kutumamaombiyaoyakusaidiwakwabaruapepe workshop@ziff.or.tz
Wanaotakakujuazaidikuhusuwarshahiiwaingiekwenyetovutihii:www.maishafilmlab.org au wawasilianenafibby@maishafilmlab.org