Massawe akimbusu mkewe.
Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa katika pozi na mumewe Deogratius Massawe.(P.T)
MWANAMITINDO Flaviana Matata alifunga ndoa na Deogratius Massawe katika Kanisa la St. Joseph lililopo jijini Dar. Ndoa hiyo ilifuatiwa na sherehe zilizofanyika katika Hoteli ya Serena, Dar.