Kwemye ukurasa wake wa Facebook ameandika hivi.
"Mgombea huyu Ameniacha Na Maswali. Anasema Inashangaza Pembe Za Mdovu Kusafirishwa Na Mdege, Inashangaza Polisi Ambao Ni Walinzi Wanavamiwa Na Kuporwa Silaa, Anashangazwa Na Nchi Kukosa Hata Kiwanda Kimoja Kikubwa Cha Kusindika Samaki, Anashangazwa Na Hosipitali Kukosa Dawa Huku Maduka Yaliyo Karibu Na Hosipitali Yana Dawa, Sasa Swali Hayo Maswali Kwanini Asimuulize Mwenyekiti Wake, Kama Chama Chake Kimeshika Dola Toka 1977 Mpaka Leo HakunaJipya Yeye Ataweza. Swali Kuna umuhimu Gani wa Kumchagua? Kama Yeye Anashangazwa Wananchi Watafanyaje???? Ngachokaaaaa🙆🙆
Kama ambavyo Nyerere alivyowachoka Wakoloni na kuwawekea mguu chini hadi wakang'oka vivyo hivyo Lowasa atawang'oa hawa Wakoloni....
Hatudanganyikiiiiii piiiiiipoooooooz ✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
Yaani ni mwendo wa kumuunga mkono mume wangu kipenzi na chama chake ✌ na UKAWA! Alipo kipenzi nipoooooo....Sina habareeeeeeee ... Maumivu yakizidi choma"
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago