Marehemu Komla Dumor
Mwanahabari kutoka Uganda, Nancy Kacugira ni mshindi wa Tuzo la kwanza la kumuenzi aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Komla Dumor.
Tuzo hilo lina lengo la kuendelea kuimarisha uandishi wa habari kuhusu Afrika.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago