Hapo kushoto ni kituo cha mabasi ya kwenda Kinondoni na Mwananyamala. Kiko Mtaa wa Mkunguni. Ni kwenye mtaa huu pia, miaka ya 80 kulikuwa na kituo cha mabasi ya kwenda Bahari Beach, Africana na Bagamoyo. Kwa siku mabasi mawili ya UDA ya kwenda Bahari Beach na Africana!
Safari yangu ya kwanza kwenda Bagamoyo niliingia kwenye basi saa tatu asubuhi, likaondoka saa tano, likafika Bagamoyo saa moja usiku.
Tumetoka Mbali!
Maggid.(P.T)
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago