Tazama Picha Za Mabaki Ya Helikopta; Chopa Iliyopoteza Uhai wa Mbunge Deo Filikunjombe



Mwili wa Deo Filikunjombe ukitolewa Eneo la tukio baada ya kuteketea kwa Moto kufuatia ajali ya helkopta.

Waliofariki mbali ya Filikunjombe wengine ni Mwenyekiti wa TLP Mkoa wa Iringa Blanka Francis Haule ,Egdi Francis Nkwela na rubani wa helkopta hiyo Wiliam Slaa.

Miili yote imepelekwa jijini Dar esalaa kutoka katikati ya mbuga ya Selou kitalu R3 .

Mwili wa Filikunjombe utaagwa leo jumamosi jijini Dar na kusafirishwa kwenda Ludewa kwa mazishi yatakayofanyika jumapili .

Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company