Watu 2 wakamatwa mkoani DODOMA kwa tuhuma za kutumia shahada za kughushi

Wakazi wawili wa mkoa wa dodoma wanashikiliwa na jeshi la polisi mjini dodoma kwa kosa la kupatikana na hatia ya kujaribu kufanya udanganyifu wa kupiga kura kwa kutumia shahada za kughushi


Wakazi wawili wa mkoa wa dodoma wanashikiliwa na jeshi la polisi mjini dodoma kwa kosa la kupatikana na hatia ya kujaribu kufanya udanganyifu wa kupiga kura kwa kutumia shahada za kughushi.

Mkurugenzi mtendaji wa manispaa ya dodoma AUGUSTINO KALINGA amethibitisha kutokea kwa tukio hilo

Pamoja na hilo anazungumzia zoezi zima la kupiga kura katika eneo lake la usimamizi dodoma mjini na kueleza kuridhishwa na uchaguzi uliofanyia

Msimamizi wa uchaguzi kituo cha NHC 1 mwalimu GRACE MTUI amesema zoezi halikuwa na changamoto kubwa zaidi ya kuondokewa na kalamu zao
CHANZO TBC TAIFA
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company