HABARI KUU ZA LEO na OSCAR SAMBA
print this page
HABARI NA Oscar Samba
Showing posts with label FALISAFA. Show all posts
Showing posts with label FALISAFA. Show all posts

NUKUU YA LEO NA Martin Luther King, Jr

" A right delayed is a right denied" HAKI ILIYO CHELEWA NI HAKI ILIYO KATALIWA. 

0 Toa maoni yako.

Mauaji zaidi yatokea Nigeria


Jeshi limekosolewa kwa kukosa kudhibiti mauaji Nigeria
Ghasia zaidi zimetokea Kaskazini Mashariki mwa Nigeria ambapo watu 13 wameuawa.
0 Toa maoni yako.

Zifwatazo ni nukuu za watu mablimbali mashuhuri duniani

Mwalimu Nyerere; “Nibora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizo kufa”
“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani  na baathi ya watu wakati wote ila uwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote”
Abrahamu Linlccon: “Raisi wa 16 wa nchi ya Marekani: Serikali ya watu,inayowatumikia watu na iliyowekwa na nawatu haita potea duniani”
Nelson Mandela; “Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia.”
“Kichwa kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika”
“Kama unataka kutengeneza amani na adui yako,tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako”
0 Toa maoni yako.
0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA Aldous Huxley

Experience is not what happens to you; it's what you do with what happens to you.
Aldous Huxley
UZOEFU WA MAISHA HAUTOKANI NA YALE YANAYO KUKUMBA BALI NI KWAJINSI GANI UNAGABILIANA NAYO.
0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA JOHN KENNEDY, .Let us not seek the Republican answer or the Democratic answer, but the right answer. Let us not seek to fix the blame for the past. Let us accept our own responsibility for the future.

  na Oscar Samba.

MSEMO HUU ALITOLEWA HUKO MAREKANI KWA KUWATAKA WAMAREKANI KUTO KUEGEMEA KWENYE VYAMA VYA SIASA AMBAVYO NI REPUBLICAN NA DEMOCRATIC ILA JIBU ZURI NA KUWATAKA WASILALAMIKIE YALIYO PITA BALI WAKUBALI MAJUKUMU YAO YA SIKU ZIJAZO.
0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA Nelson Mandela

 "Education is the most powerful weapon which you can use to change the world"

ELIMU NI SILAA YENYE NGUVU AMBAYO HUTUMIKA KUIBADILISHA DUNIA.
0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA Martin Luther King, Jr.

Everything that we see is a shadow cast by that which we do not see.

KILA KITU TUNACHO KIONA NI KIVULI CHA MUHUSIKA ASIE ONEKANA.
0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA Martin Luther King, Jr. ;" A right delayed is a right denied" HAKI ILIYO CHELEWA NI HAKI ILIYO KAALIWA.


0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA JOHN F KENNEDY.

MTU HUWEZA KUFA,TAIFA LINAWEZA KUPANDA NA KUSHUKA,LAKINI WAZO HUDUMU
0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA JOHN F. KENNEDY "Things do not happen. Things are made to happen." ;VITU HAVITOKEI BALI HUSABABISHWA ILI VITOKEE;


www.hakileo.blogspot.com
0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA John F. Kennedy "nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people"

0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA John F. Kennedy NUKUU YA LEO NA John F. Kennedy "Forgive your enemies, but never forget their names" YAANI "samehe adui zako,lakini usisahau majina yao"

0 Toa maoni yako.

NUKUU YA LEO NA Abraham Lincoln

0 Toa maoni yako.
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company