anafunzi wajiunga na mgomo Malawi


Viwanja vya ndege vimeathirika kutokana na mgomo wa wafanyakazi wa umma
Polisi nchini Malawi wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wanafunzi wa shule waliokuwa wanashiriki maandamano huku mgomo wa wafanyakazi wa umma ukikithiri.
Mamia ya wanafunzi waliojawa ghadhabu kuwa mafunzo yao yameathirika walijiunga na maandamano hayo mjini Lilongwe.
Walimu ni miongoni mwa maelfu ya wafanyakazi wa umma ambao wamekuwa wakigoma tangu wiki jana wakitaka nyongeza ya asilimia sitini na saba ya mshahara kufuatia hatua ya serikali kushusha hadhi ya sarafu ya nchi mwaka jana.
Rais Joyce Banda, amesafiri kwenda Equatorial Guinea, kwa mkutano na rais wa nchi hiyo licha ya mgomo una
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company