TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
6 years ago
Rais Barack Obama wa Marekani amesema leo kuwa ametiwa moyo na mazungumzo na viongozi wengine kuhusu njia ya kijibu shambulio la silaha za kemikali nchini Syria na anapanga kueleza juu ya nini anachotaka kukifanya wakati akizungumza na Wamarekani katika hotuba atakayoitoa siku ya Jumanne. Obama amewaambia waandishi habari mwishoni mwa mkutano wa kundi la mataifa ya G20 kuwa yeye pamoja na viongozi wengine wameweza kutoa mawazo yao juu ya suala hilo na kwamba kuna hali ya kutambua kuwa dunia haiwezi kukaa kimya.www.hakileo.blogspot.com