HATIMAE SHULE ZA SEKONDARI NCHINI KUUNGANISHWA NA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO



Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, akikata utepe wakati wa Uzinduzi wa mpango wa kuziunganisha shule za Sekondari na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ukianzia Shule ya Kambangwa Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Meneja wa Samsung Tanzania Kishor Kumar, wapili ni Mkuu wa kitengo cha mfuko wa huduma za jamii cha Vodacom, Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule,kutoka kushoto ni Mkuu wa shule hiyo Bi.Theresia Ng'wigulu.



Waziri wa mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa akimfuatilia mwanafunzi Frank Massay wa shule ya sekondari ya Kambangwa akitumia komputa zilizounganishwa na Mkongo wa taifa wa mawasiliano kwa ushirikiano wa Vodacom na Samsung. Pamoja nao katika picha (Kulia) ni Mkuu wa kitengo cha Huduma za Jamii cha Vodacom Tanzania, Yessaya Mwakifulefule, Mkuu wa shule hiyo Bi.Theresia Ng'wigulu, na Mtaalamu wa komputa wa Samsung, Julius Giabe.



Waziri wa mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame, akimsikiliza kwa umakini Mkuu wa kitengo cha Huduma za Jamii cha Vodacom Tanzania, Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuunganisha shule za sekondari nchini na Mkongo wa taifa wa mawasiliano, uliofanyika kwa kuanzia na shule ya Msingi Kambangwa ya jijini Dar es Salaam.



Waziri wa mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa akimfuatilia mwanafunzi Frank Massay wa shule ya sekondari ya Kambangwa akitumia komputa zilizounganishwa na Mkongo wa taifa wa mawasiliano kwa ushirikiano wa Vodacom na Samsung. Pamoja nao katika picha (Kulia) ni Mkuu wa kitengo cha Huduma za Jamii cha Vodacom Tanzania, Yessaya Mwakifulefule, na Mtaalamu wa komputa wa Samsung, Julius Giabe.



Wanafunzi wa shule ya Sekondari Kambangwa, wakitoa burudani kwa wageni waalikwa, Wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuunganisha shule za sekondari na Mkongo na Taifa wa Mawasiliano.(P.T)


Shule za Sekondari nchini kuunganishwa na MkongowaTaifa wa Mawasiliano.

· Kupata komputa na vifaa vya umeme wajua.

Dar es Salaam, Oktoba 22 2013 ... WaziriwaMawasiliano,SayansinaTeknolojia Prof. MakameMbarawaamezinduampangowakuziunganishashulezasekondarinchininaMkongowaTaifawaMawasilianohukuakitanabaisha kuwa serikaliinathamininakutambuamchangowasektabinafsikatikakuletamaendeleokwajamiiinayowazunguka.

WaziriMbarawaamesemabilaya kuwa nasektaRasmiambayoinatambuamchango wake kwajamiiinayowazungukaupatikanajiwamaendeleokwajamiiyaWatanzaniaungeendelea kuwa mgumu, akitoleamfanomradihuo, Mradiulioanzishwana Vodacom na Samsung katikakuungamkonompangowaserikaliwakuunganishashulezasekondarinamkongowataifawamawasiliano.

"Kama wewenimwekezaji au mmilikiwakampunibinafsinahautambuimatatizoyawatuwanaokuzungukasiojambojema, Ni muhimusehemuyafaidaunayoipatauwekezekatikakutatuachangamotozinazowakabili, Tukijengautamadunihuututawezakuiokoajamiiyakitanzaniaambayoinahitajimisaadayaainambalimbalikatikakujiendeleza" alisema Prof. Mbarawa.

"Kama ilivyokatikasektayaElimuSerikalipekeehaiwezikutatuachangamotozotezinazoikabilisektahii, balitunikwakushirikiananawadaukamailivyofanyikakwa Vodacom na Samsung kuwezeshamradiwakuunganishashulezetunamkongowataifawamawasiliano.

AidhaWaziriMbalawaalisemaSerikaliinungaMkonoharakatizakampunihizokatikakuisaidiasektayaelimukuendananakasiyamabadilikoyasayansinateknolojia.

"Duniasasaimepitakatikamapinduzimakubwayasayansinateknolojiabilakujengauwezonamiundombinukatikashulezetu, kwakutoavifaavyakuwawezeshawanafunziwetukujifunzakutokananamabadilikoyaliyopobadoelimuyetuhaitopigahatuanajamiiyaWatanzaniaitaendelea kuwa nyumasikuzite, Serikaliinatambuamchangohuunainaahidikuwaungamkonowoteambaowananiayadhatiyakuletamapinduzikatikaelimu."

AkitoahotubayakekwaWaziriMbarawa,Mkuuwakitengo cha MfukowaHudumazajamii, Vodacom Foundation, Yesaya MwakifulefulealibainishakwambajitihadahizizinakwendasambambanamalengoyakutoahudumazakimawasilianopamojanakuungamkonojuhudizawatanzaniakatikakufikiamalengoyaMpangowamaendeleoya Millennia (MDGs).

"Elimundioufunguowamaendeleoyajamiiyoyoteile; kwasababuhiyo Vodacominafanyakilajitihadakuhakikishawanafunziwanapatanyenzo bora zakujifunziabilaugumuwaainayoyoteile. Piakatikajamiiyoyoteiledunianiyapaswakuzingatiamaendeleoyakitekinolojiayanayojitokeza, tumekujakuhakikishatunawezeshashulezotenchinizinakuwanauwezowakuyafikiamaendeleohayo." AlisemaMwakifulefulenakuongeza.

"Kampuniyetuimejidhatitikatikakuendeleakuletamapinduzikatikasektayaelimu, Hivipundetumeanzishampangowakuziwezeshashulezilizokomaeneoyakaribunaminaraya Vodacom inayotumianishatiyajuakuzalishaumemekupatanishatiyahiyo." Alisema.

Mwakifulefulealihitimishakwakusema Vodacom Foundation,imewekezakwakiasikikubwakatikakujengamadarasanakuyawezeshakwavifaambalimbali, piaimeziwezeshashulehizokwakuzipatiavifaambalimbalivyakujifunzianchinzima.

Kwaupande wake MkurugenziMtendajiwaKampuniya Samsung Tanzania, Dongha Jang kampuniyakeinadhamirayadhatiyakuletamapinduziyaelimukupitiamradihuuambaopiaunatumiaJeneretayaumemejua, (Solar) ambayoitakuaikitoanishatikwavifaavitakavyo kuwa vinatumika.

"Kwakuimarishanishatiyajua, tunawezakuzihudumiajamiizakiafrikananishatiambayoinapatikanakwabeirahisimno, ambayopianirafikiwamazingirahivyokwakuanzianashuleyakambangwanashulenyinginezitakazofuatazitanufaikanamradihuu." Alisema Jang.

"Samsung imeamuakuelekezanguvuzakekatikakutatuamatatizoyakielimulengokuunikuungamkonokuendelezajitihadazaviongoziwaAfrikanapiakupatanguvukaziiliyoelemikaambayondiyomsingimkuuwawaajiriwawabaadae." Aliongeza Jang.

Kampuniimehamishanguvuzakekutokajitihadazakuwajibikanashughulimbalimbalizakijamiinakuundakituambachokitathaminiwanajamiikwapamoja. Hiiinamaanakwamba, shughulizotezakielimu, kiafyapamojanamipangoyakuendelezajamiiitakuwanamadhumimawili; yakuungamkonokufikiamalengoyakibiasharayakampuninavilevilekuboreshamaishayawaafrikakwaujumla.

Kuhusu Vodacom Tanzania:

Kampuniya Vodacom Tanzania Limited inadhamirayadhatiyakushirikianana jamiikatikashughulizamaendeleokupitiataasisiyakeya Vodacom Foundation. Vodacom Foundation inanguzokuutatu: Afya, ElimunaUstawiwaJamii. Hadi sasataasisihiyo imechangiazaidiyamiradi 120 yakijamiinchini. Aidha, imeshindatuzombalimbalizakitaifanazakimataifakatikanyanjayaUwajibikajiwaMashirikakwaJamii. Hizinipamojana East African CSR Awards na Diversion and Inclusion Award ambayohutolewa nakampuni mama ya Vodafone .

Vodacom Tanzania Limited nikampuniyasimuzamikononiinayoongoza Tanzania inayotumia teknolojiayakisasa ya mawasiliano. Vodacom Tanzania nikampunitanzuya Vodacom Group (Pty) Limited, South Afritca, ambayopianikampunitanzuya Vodafone Group UK. Vodacom Group (Pty) Limited inamiliki hisaailimia 65 Vodacom Tanzania na asilimia 35 zilizobakizinammilikiwanaMirambo Ltd.

Vodacom Tanzania imetangazwa kuwa Super Brand (Chapa Bora Zaidi) kwamiaka mitatumfululizo, kutoka 2009 -2011.

Kwamawasiliano:

Matina G. Nkurlu

MenejaMahusiano

Vodacom Tanzania Limited.

Mlimani City Jengonamba 1.Ghorofaya kwanza.

MWISHO
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company