IFAHAMU SHULE YA NURSERY YA EBENEZER.

Mwl. DAVID SIFAELI PALLANGYO,Mmiliki wa SHULE HII YA EBENEZER NURSERY SHOOL.

PICHANI NI WANAFUNZI WA SHULE HII WAKIJIANDAA KUCHEZA.

WOTE KWA PAMOJA WANAMSIKILIZA MWALIMU WAO KWA UMAKINI HUKU SHAHUKU YAO KUBWA IKIWA NI KUIJUA RATIBA YAO YA SIKU.

NYUSO HIZI ZA FURAHA NA TABASAMU MWANANA ZIKOTAYARI KWAAJILI YA KUINGIA DARASANI NA KUJIFUNZA ALUFABETI.

KWA FURAHA NA KWA KUJIAMINI WANAFUNZI WA EBENEZA WANAMSIKILIZA MWALIMU WAO KWA NGUVU ZOTE NA AKILI ZOTE,MAARIFA NA UJUZI UTOKAO KWA MWALIMU BILA MASHAKA WALA KUKAWIA UNAONEKANA UKIPENYA VICHWANI MWA WANAFUNZI KWANI MREJESHO UNATOKA KWAO NI SHAHIDI WAHILI

KWA KUIPENDA KAZI YAKE MWALIMU JASIMINI JINGU,ANAWAFUNZA VYEMA WANAFUNZI WAKE AWAPENDAO.
UMAKINI NA NIDHAMU NDIO SIRI YA MAFANIKIO YAO EMBU WATAZAME WALIVYO ELEKEZA NYUSO ZAO UBAONI, KWAHILI HATA SIAFU AKIKATIZA HATAWEZA KUONDOA UMAKINI HUU.



BAADA YA MASOMO WOTE KWA PAMOJA WALIAMUA KUPATA PICHA YA PAMOJA.
WALIOKA NYUMA YAO NI WALIMU WAO; WA KWANZA KUSHOTO NI MWL. DOREEN KIMARO, AKIFWATIWA NA MMILIKI  WA SHULE HII AMBAE PIA NI MWALIMU, DAVID SIFAELI PALLANGYO NA JASIMINE JINGU.
 SHULE YA EBENEZER INAPATIKANA MKOANI ARUSHA KATIKA WILAYA YA ARUSHA MJIN NDANI YA KATA YA OLASITYI.

SHULE HII HUTOA ELIMU KWA KUPITIA LUGHA MBALI MBALI IKIWEMO KIINGEREZA NA KISWAHILI.
BEI ZAO NI NAFUU KABISA NA KWAO ELIMU NDICHO KIPAUMBELE CHA KWANZA NA SIO FEDHA.
TAFADHALI MLETE MWANAO HAPA APATE ELIMU BORA NA ITAKAYO MUWEZASHA NA KUMJENGEA MSINGI MZURI KWAJILI YA MASOMO YA SHULE YA MSINGI.
                    KUMBUKA
                                                   "EDUCATION FOR LIBERATION"
ELIMU KWA AJILI YA UKOMBOZI.
      Endelea kutazama picha zaidi....
...








Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company