Obama analipwa mshahara milioni 53
kwa mwezi.
Obama analipwa mshahara milioni 53
kwa mwezi.
Kikwete analipwa mshahara milioni 32
kwa mwezi.
Pinda analipwa mshahara milioni 28
kwa mwezi.
Mbunge wa kitanzania analipwa
mshahara milioni
11.2 kwa mwezi.
Wakati kuna watanzania bado
wanamishahara ya kuanzia 30,000 kwa
mwezi na walimu na manesi kuanzia
200,000 kwa mwezi. Wakati wanafanya
kazi ngumu na maisha yao magumu,
hawana magari ya shule hospitali
magari ni shida. Wakati kuna ma V8
yako kwa viongozi wa serikali wakati
wangeweza kutumia hata starlet. SHARE UJUMBE HUU KWA WATU WASIOJUA MAMBO HAYA.