KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MPLA CHA ANGOLA ATUA DAR



Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi cha Angola, MPLA, Julio Mateus Paulo, baada ya mgeni huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam, jioni hii    www,hakileo.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company