TANGAZO,,, NINAYO NDOTO NINAYO MAONO I HAVE A DREAM, I HAVE A VISITION,

TAFADHALI USIKOSE KUTAZAMA NA KUSOMA HOTUBA YA OSCAR SAMBA KUHUSU UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA .
HOTUBA HII INALENGA KUJENGA BARA LENYE AMANI,TAJIRI KUTOKANA NA RASILIMALI ZAKE.

 PIA HOTUBA HII INALENGA KUMFUKUZA ADUI YETU KWA SASA AMBAE NI UKOLONI MABOLEO.

ITATOLEWA RASIMI 15/11/2013. KUPITIA BLOGU HII YA www.hakileo.blogspot.com. PIA www.tabasamuleo.blogspot.com, www.mwakasegebibilia.blogspot.com, www.makalaleo.blogspot.com  NA www.mahabaleoo.blogspot.com

KUMBUKKA WAZEE WETU WALIFUKUUZA WAKOLONI WAKASAHAU UKOLONI.

KAULI MBIU  "AFRIKA NI YETU NASIO YAO"

Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company