Tubadili fikra tuweze kufanya biashara miongoni mwetu: TanzaniaKusikiliza



Mahadhi J. Maalim, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania

Mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu ufadhili kwa maendeleo leo umeingia siku ya pili na mwisho ambapo wajumbe wanajadili jinsi ya kuhakikisha fedha zinapatikana kutekeleza shughuli za maendeleo. Joseph Msami na ripoti kamili.
Katika mkutano huo nchi zinazoendeleaTanzaniaimeeleza kuwa imeweka mikakati ya ndani ya kujipatia fedha za kufadhili sekta muhimu kwa maendeleo wakati huu ambapo ufadhili wa kigeni unasuasua. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mahadhi Juma Maalim amesemaTanzaniaina utaratibu uitwao Matokeo Makubwa Sasa ukiweka vipaumbele vitano ambavyo ni maji, nishati, miundombinu, elimu na ukusanyaji mapato. Amezungumzia pia majadiliano yaDohaya biashara yaliyokwama ambapo katika mahojiano maalum na idhaa hii, Naibu Waziri alielezea kile wanachofanya kujikwamua.www.hakileo.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company