Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye vyombo habari kwamba kuna mgogoro unaofukuta kwenye uongozi wa juu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Kinagaubaga inauliza kuna nini huko ndani?

Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Kutoka kushoto ni Freeman Mbowe (Chadema), Ibrahim Lipumba (CUF) na Augustine Mrema (TLP).