BUNGE LA CHACHAMAA,MUDA WOWOTE KWANZIA SASA WAZIRI MKUU HUWENDA AKANG'OLEWA.

Kwa wakati huu wabunge kwa dharura wanajadili ripoti ya kamati ya mali asili inayo onesha jinsi watu walivyo zalilishwa kijinsia huko Morogoro wakati operesheni ya TOKOMEZA UJANGILI.
Mamia ya watu walipigwa na wengine kuuwawa huku maelufu ya mifigo ya kiuwawa ikiwemo kutupwa mtoni na kupigwa risasi.
Makombora ya wabunge yana ielekea waziri wenye dhamana husika,Kumbuka zoezi hilo liliendeshwa na Jeshi la JWTZ.
Hali hiyo inachochea asira za wabunge kwa waziri mkuu kwani kisheria wabunge hawawezi kumuondoa waziri bali nguvu yao ni kwa waziri mkuu.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company