
Diamond ametumia siku ya leo Dec 20, 2013 kwenda kutembelea,kutoa zawadi na kula pamoja na watoto na walezi wa kituo cha watoto yatima huko Buguruni Malapa House.
SOMA HABARI KAMILI http://tabasamuleo.blogspot.com/2013/12/ona-picha-zaidi-ya-15jinsi-diamond.html#more