NUKUU YA LEO NA JOHN KENNEDY, .Let us not seek the Republican answer or the Democratic answer, but the right answer. Let us not seek to fix the blame for the past. Let us accept our own responsibility for the future.

  na Oscar Samba.

MSEMO HUU ALITOLEWA HUKO MAREKANI KWA KUWATAKA WAMAREKANI KUTO KUEGEMEA KWENYE VYAMA VYA SIASA AMBAVYO NI REPUBLICAN NA DEMOCRATIC ILA JIBU ZURI NA KUWATAKA WASILALAMIKIE YALIYO PITA BALI WAKUBALI MAJUKUMU YAO YA SIKU ZIJAZO.


UJUMBE HUU UWAFIKIE WALE WOTE WAPENZI WA CCM AU CHADEMA PIA CUF NA VYAMA VINGINEVYO KWANI WAMEUTEKELEZA VIZURI NA HATIMAE KUUNGANA KWA KUPITIA WABUNGE WAO JANA BUNGENI NA KUULANI MAUWAJI NA UNYANYASAJI PIA UVUNJAJI WA HAKI ZA KIBINADAMU ULIOFANYWA NA JESHI LENYE TABIA HIYO LA JWTZ.

SASA BASI HUU SIO WAKATI WA KULAUMIWA BALI NI WA KUTAZAMA NA KUTEKELEZA YAJAYO.
www.hakileo.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company