
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Profesa Sospeter Muhongo,Baadhi ya Wajumbe kutoka Benki ya Dunia wakichangia taarifa iliyowasilishwa kuhusu masuala ya Gasi wakati wa kikao baina yao

Bw. Albert Zeufack Mtaalamu toka Benki ya Dunia akiwasilisha taarifa ya kuhusu Masuala ya Gasi

Kamishna Msaidizi anayesimamia masuala ya Gasi Asilia Engineer Nobert Kahyoza akitoa ufafanuzi wakati wa kikao hicho

Kamishna Msaidizi anayesimamia Maendeleo ya Nishati Bw. James Andikile akisisitiz ... hicho katikati ni Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo
Picha na ( Asteria Muhozya - Nishati na Madini)
